Kapombe, Tshabalala, watakiwa kutunza nafasi zao
Wachezaji Mohammed Hussein 'Tshabalala' wa Klabu ya Sima, Haji Mwinyi wa Yanga na Shomari Kapombe wa Azam Fc wametakiwa kuzitumia vizuri nafasi walizonazo katika vilabu vyao ili kuweza kufika mbali zaidi kisoka.

