L.P.D.C ni kwa ajili ya watafutaji
Rapa Octopizzo kutoka Kenya, amefafanua maana ya mzigo wa albam aliyoachia hivi karibuni L.P.D.C - Long Distance Paper Chaser, ikihusisha watu waliochukua hatua za kuondoka nyumbani kwao na kwenda maeneo ya mbali kutimiza ndoto zao.

