Janjaro ashikwa zaidi na biashara
Star wa muziki Janjaro a.k.a Dogo Janja amefunguka kupitia eNewz kueleza shughuli ambazo anazifanya pembeni ya muziki, hii ikiwa ni kufuatia kimya cha muda mrefu huku mashabiki wakitaka kufahamu ni kitu gani kinaendelea katika maisha yake.

