Makanisa Matatu yachomwa moto Bukoba Mwenyekiti wa makanisa ya Kipentekoste Bukoba ,Crodward Edward Makanisa matatu ya kipentekoste yaliyopo katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, yameteketezwa kwa moto usiku wa leo na watu wasiofahamika. Read more about Makanisa Matatu yachomwa moto Bukoba