Wanaume watakiwa kuacha kuwafanya Wanawake Mabaara
Baadhi ya wananchi wa vijiji katika wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamelaani vitendo vinavyofanywa na baadhi ya wanaume vya kuwageuza wenza wao kuwa maabara, kwa kuwatanguliza kwenye vituo vya afya,na kisha kuyafanya matokeo ya vipimo kama yao.
