Bunge Nov 17, Masaju mwanasheria mkuu wa serikali
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli muda mfupi baada ya kuapishwa kwake hii leo, tayari ameanza kazi, ambapo kazi ya kwanza aliyoanza nayo ni uteuzi wa mwanasheria mkuu wa serikali.