Dkt. Magufuli aanza kazi, ateua mwanasheria mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa rais Bi. Samia Hassan Suluhu

Saa chache baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameanza kazi kwa kasi ambapo ameanza kazi kwa kumteua mwanasheria mkuu na kuitisha bunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS