LHRC yalaani uvunjwaji wa demokrasia waliofanyiwa

Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu nchini LHRC Dkt.Hellen Kijo-Bisimba

Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu nchini LHRC Dkt. Hellen Kijo-Bisimba amekemea tabia ya uvunjwaji wa demokrasia uliotumiwa na vyombo vya usalama kuendelea kushikilia vifaa vyao walivyokuwa wanafanyia kazi ya uangalizi wa uchaguzi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS