DAREVA yaahirisha mashindano ya wavu ya uhuru
Chama cha mchezo wa wavu jijini Dar es salaam kimefuta mashindano maalum ya Uhuru ili kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ya kufanya usafi siku hiyo kuepusha mlipuko wa kipindupindu

