Q Chilla kufunga pingu za maisha Staa wa muziki Q Chilla Star wa muziki Q Chilla hivi sasa ameona ni wakati muafaka wa kufanya maandalizi ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake ambaye amedumu naye kwa muda katika mahusiano yao ya kimapenzi. Read more about Q Chilla kufunga pingu za maisha