Tanzania hatarini kukabiliwa na uhaba wa maji
Tanzania ni moja ya nchi za ukanda wa bahari ya Hindi ambazo zinatabiriwa kuwa huenda zikakabiliwa na uhaba wa maji pamoja na ongezeko la bei za vyakula kutokana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinazoendelea kujitokeza na kuathiri sekta mbali