Stars yapoteza 2-0 kwa U 23 ya Afrika Kusini Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepoteza mechi yake ya kirafiki ya mazoezi dhidi ya timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 kwa kufungwa mabao 2-0. Read more about Stars yapoteza 2-0 kwa U 23 ya Afrika Kusini