Serikali yatakiwa kudhibiti wanaotelekeza watoto
Mwanamama Petronila Simon mkazi wa Arusha mwenye mtoto mlemavu wa viungo na akili amelalamikia tabia ya kinababa kuwatelekeza kinamama pindi wanapojifungua watoto walemavu na kuwaacha bila kuwahudumia.