Tanzania yaunga mkono mabadiliko Baraza la Usalama
Tanzania imeunga mkono mapendekezo ya kufanyia marekebisho Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili liweze kufanya kazi ipasavyo, liwe jumuishi zaidi na ili lioane vyema na hali halisi iliyopo duniani sasa.