Usahili SFW kufanyika kesho Dar
Katika kuelekea siku kubwa kabisa ya maonesho ya mitindo ya Mavazi ya Swahili Fashion Week kwa mwaka huu, usahili wa wanamitindo watakaoshiriki kuonesha mavazi ya wabunifu umepangwa kufanyika siku ya kesho kuanzia saa 8 kamili za mchana jijini Dar.