Chalenji kuanza kesho, Tanzania dimbani Jumapili
Michuano ya Kombe la CECAFA Chalenji inaanza kutimua vumbi hapo kesho nchini Ethiopia kwa kushirikisha nchi 11 ambapo timu ya soka ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imepangwa kundi moja na wenyeji Ethiopiakatika michuano hiyo mwaka huu.