Nasajili wanaojituma kuboresha kikosi: Kocha Shime
Kocha Mkuu wa Mgambo Shooting Bakari Shime amesema anatarajia kufanya usajili kwa kuangalia wachezaji wanaojituma uwanjani ili kuweza kufanya vizuri katika muendelezo wa michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara.