Wafanyabishara lawamani uuzaji dawa bandia Kuongezeka kwa dawa bandia za mimea na uanzishwaji holela wa maduka ya viwatilifu katika maeneo ya vijijini kumetajwa kuwa kikwazo kikubwa katika kuendeleza kilimo na kukuza uzalishaji. Read more about Wafanyabishara lawamani uuzaji dawa bandia