Kill Stars yaingia Robo Fainali Chalenji

Timu ya Taifa ya Tanzania The Kilimanjaro Stars imejihakikishia kuingia katika hatua ya Robo Fainali ya michuano ya CECAFA Chalenji baada ya kuichapa Rwanda bao 2-1 uwanja wa Awassa nchini Ethiopia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS