Azam FC yaanza mazoezi kujiwinda dhidi ya Simba Sc Vinara wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, Azam FC leo wanatarajiwa kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Simba SC mwezi ujao. Read more about Azam FC yaanza mazoezi kujiwinda dhidi ya Simba Sc