Chabba atambulisha ya kilugha

Mwana hip hop kutoka kanda ya Kaskazini, Chabba

Mwana Hip Hop kutoka kanda ya Kaskazini, Chabba leo hii ametambulisha rasmi project yake inayosimama kwa jina 'Chee Kwani ni Gani', akiwakilisha kanda anayotokea kwa kutumia maneno maarufu ya kuonyesha mshangao yanayotumiwa na makabila maarufu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS