Watuhumia 40 wa upotevu wa makontena washikiliwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa 40 kwa tuhuma za kula njama za kutoa makontena zaidi ya 2,500 kinyume na utaratibu na kuisababishia hasara serikali ya mabilioni ya fedha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS