Ujio mpya wa kundi la Spice Girls

Kundi maarufu la miondoko ya Pop, Spice Girls

Wakiwa wanaadhimisha miaka 20 ya kusheherekea umoja wao wa kudumu katika kundi, wanamuziki maarufu wa kundi la Spice Girls la nchini Uingereza wanatarajia kuungana tena kwa ujio mpya hapo mwakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS