Farid katika majaribio, Agrey nje miezi mitatu

Kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara kinatarajia kuondoka hapo kesho kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari Tatu mwakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS