Wahitimu UDOM watakiwa kuwa wajasiriamali

Mkuu wa Chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akimtunuku mmoja wa wahitimu.

Mwenyekiti wa bodi ya chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Balozi Augustino Mahiga amewaasa wanafunzi waliohitimu katika chuo hicho kujiongezea elimu ya ufundi na ujuzi mpya

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS