Gerrard kurudi Liverpool kama kocha

Nahodha wa zamani wa klabu ya soka ya Liverpool ya nchini Uingereza Steven Gerrard anataraji kurudi kwenye klabu hiyo kama kocha pindi atakapomaliza kusukuma ngozi kwenye klabu ya L.A Galaxy ya nchini Marekani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS