Ommy amjibu Ney baada ya kuambiwa 'Jogoo hawiki' Msanii Ommy Dimpoz amejibu mapigo kwa Ney wa Mitego baada ya kumuimba kwenye wimbo wake, huku akimtuhumu eti rafiki zake hawamjui shemeji yao au huenda jogoo hawiki. Read more about Ommy amjibu Ney baada ya kuambiwa 'Jogoo hawiki'