Messi abeba tuzo ya mchezaji bora wa mwezi.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Barcelona Lionel Messi akionyesha uwezo wake uwanjani.

Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ndiye mchezaji bora mwezi huu nchini Uhispania, ikiwa ni mara ya kwanza kushinda tuzo hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS