Valentine Affairs kutumbuiza 'wapendanao'
Kuelekea siku ya wapendano Jumapili hii, wasanii watakaotumbuiza katika onesho la Valentines Affairs pale King Solomon Kinondoni jijini Dar es Salaam, Ben Pol pamoja na Patricial Hillary wameahidi kufanya kweli
