Mazombi wanashambulia wafuasi wa CUF -Maalim Seif
Makamu wa kwanza wa rais wa serikali ya visiwa vya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ambaye pia ni katibu mkuu wa CUF ameishutumu serikali kwa kufumbia macho makundi yanayowavamia na kuwapiga wafuasi wa chama cha upinzani cha CUF .
