BOT yaja na mfumo kupanua huduma za kifedha Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu amezindua rasmi mfumo wa utoaji elimu kwa watumiaji huduma za kifedha ili kuondoa malalamiko yanayotokana na uelewa mdogo wa huduma hiyo. Read more about BOT yaja na mfumo kupanua huduma za kifedha