Nkurunziza kuwaachia huru wafungwa 1,200
Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa akiwa ziarani nchini Burundi amekutana kwa mazungumzo na rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, ambapo Ban amesema rais huyo ameahidi kuondoa vikwazo dhidi ya vyombo vya habari, na kuwaachia huru wafungwa 1,200,

