Mtwara kuwafikisha mahakamani wakwepa kodi

Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Mtwara Mikindani, Donald Nssoko,

Halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani imesema itachukua hatua za kisheria kwa kuwafikisha mahakamani wananchi wote watakaobainika kukwepa kulipa kodi ili kusaidia kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS