Wenger alaumu ushambuliaji kipigo dhidi ya Barca
Kocha mkuu wa Arsenal Arsene Wenger amesema Barcelona imefuzu asilimia 95 katika michuano ya robo fainali ya kombe la vilabu bingwa barani Ulaya, baada ya kilabu yake kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Barcelona usiku wa jana kwenye uwanja wa Emirates.

