BFT laweka imani kwa mabondia timu ya taifa
Shirikisho la Ngumi za Ridhaa nchini BFT limesema lina imani na mabondia waliochaguliwa katika kambi ya timu ya taifa kwa ajili ya kushiriki mashindano ya kufuzu Olimpiki yatakayofanyika Machi 09 mpaka 20 mwaka huu Yaoundé nchini Cameroon.

