CHAKUA yaonesha wasiwasi huduma za mwendokasi.
Chama cha kutetea abiria nchini Tanzania (CHAKUA) kimeiomba Serikali kutositisha huduma zinazotolewa na magari ya abiria ya kawaida maarufu kama daladala zinazopita maeneo ambayo kuna magari ya mwendo kasi kwani huduma za mabasi hayo yanachangamoto.