Mkwasa aahidi ushindi kesho dhidi ya Misri Taifa
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Mkwasa amesema, anakiamini kikosi chake kitapambana na kupata pointi tatu dhidi ya Misri hapo kesho katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika mwaka 2017.