Wakurugenzi iheshimuni kazi yenu- Jaji Kaganda
Kamishna wa Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma Jaji mstaafu Salome Kaganda amewataka wakurugenzi 185 walioteuliwa kuiheshimu kazi yao na kuhakikisha wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za sheria za umma.

