"Viatu vya Mb Dog vilikuwa vinanuka" - Madee. Msanii Madee Seneda ametoa siri ambayo wengi walikuwa hawaifahamu, jinsi producer Majani alivyowakatalia kurekodi wimbo wa Mb Dog wa Latifa, kutokana na kunuka kwa viatu vya Mb Dog. Read more about "Viatu vya Mb Dog vilikuwa vinanuka" - Madee.