Simiyu kuanza ujenzi wa madarasa kwa zao la Pamba

Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.

Mkoa wa Simiyu umeanza mpango wake wa utekelezaji wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa kwa shule za msingi na sekondari kwa kutenga asilimia 2 ya mapato yanayotokana na zao la Pamba katika halmashauri zote za wilaya ya Mkoa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS