Pogba afuta aibu yake leo Old Trafford

Mchezaji Paul Pogba ambaye ni kivutio kikubwa na amekuwa gumzo kwa wachezaji wa timu ya Manchester United, leo amejitoa kimaso maso kwa kuifungia Man U goli la 4 na kuipa ushindi timu hiyo ligi kuu ya England.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS