Wananchi Dar wachangia unit 202 za damu

Damu iliyokusanywa

Afisa Uhamasishaji kutoka kitengo cha damu salama katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Bwana Hamis Kubiga amesema tangu waanze kukusanya damu salama kuanzia siku ya Jumamosi tarehe 24 mwezi huu tayari wamefikisha Unit 202 za damu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS