Serikali yatoa siku 7 kwa wadaiwa wa NSSF
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ametoa siku 7 kwa taasisi za serikali, wizara, makampuni na watu binafsi kulipa madeni wanayodaiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii -NSSF