NHCR kuhamisha wakimbizi wa ndani Sudan Kusini
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi(UNHCR) limesema, limeanza operesheni ya kuhamisha wakimbizi wa ndani wa Sudan Kusini walio hatarini zaidi kutoka kwenye mji wa Yei na kuwapeleka kwenye kambi ya kitongoji cha Lasu nchini humo.