Bora Shilole kuliko Petit Man - Nuh Mziwanda

Msanii Nuh Mziwanda mwenye migogoro na meneja wake, Petii Man kutokana na madai kuwa anatumia jina lake kupiga hela amesema kuwa meneja huyo hakuwa na mchango wowote katika muziki wake, mtu wa kumshukuru katika muziki wake ni Shilole na si Petit Man.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS