Ajali ya boti ziwa Rukwa yaua watoto wawili
Watoto wawili wenye umri wa chini ya miaka miwili wamefariki dunia na watu wengine wawili hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria iliyokuwa imebeba abiria 29 kugonga kisiki na kuzama ndani ya ziwa Rukwa.