Ukuaji wa uchumi barani Afrika waibeba Tanzania
Mwelekeo wa ukuaji uchumi barani Afrika unatarajia kukwama zaidi na kuwa asilimia 1.6 mwaka huu ikilinganishwa na asilimia 3 mwaka jana, hiyo ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya Benki ya Dunia itolewayo mara mbili kwa mwaka, Africa's Pulse.