DC Ludewa aagiza waliosusia kikao chake wakamatwe Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe Andrea Tsere Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw. Andrea Tsere ametoa agizo la kukamatwa kwa wananchi wa kitongoji cha Ngalawale wilayani humo kwa kususia kikao cha mkuu huyo wa wilaya. Read more about DC Ludewa aagiza waliosusia kikao chake wakamatwe