Hatuna mpango na Ajibu - Yanga Ibrahim Ajibu Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC, imekanusha taarifa ya kumsajili mshambuliaji kutoka kwa mahasimu wao Simba SC, Ibrahim Ajibu na kuweka wazi kuwa nyota huyo hayumo kwenye mipango ya Yanga. Read more about Hatuna mpango na Ajibu - Yanga