Bongo Movie tumekuwa kama nyumbu - Gabo

Gabo Zigamba

Msanii wa filamu nchini Tanzania ambaye anatajwa kuchukua nafasi ya marehemu Steven Kanumba, Gabo Zigamba, amesema kinachoikwamisha tasnia ya filamu nchini ni kukosa umoja kwa wasanii wa movie kiasi cha kukubali kupelekwa pelekwa kama nyumbu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS